Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 24:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Mwezi mpevu utafedheheshwa,

      Na jua linalong’aa litaaibishwa,+

      Kwa maana Yehova wa majeshi amekuwa Mfalme+ katika Mlima Sayuni+ na Yerusalemu

      Akiwa na utukufu mbele ya wazee wa watu wake.*+

  • Mika 4:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Nitamfanya yule aliyekuwa akichechemea abaki,+

      Na yule aliyepelekwa mbali kuwa taifa lenye nguvu;+

      Na Yehova atawatawala akiwa mfalme katika Mlima Sayuni,

      Kuanzia sasa mpaka milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki