Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 7:42, 43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Basi Mungu akageuka na kuwaacha, akawakabidhi watoe utumishi mtakatifu kwa jeshi la mbinguni,+ kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Manabii: ‘Enyi nyumba ya Israeli, je, mimi ndiye mliyetolea matoleo na dhabihu nyikani kwa miaka 40? 43 Bali mlilichukua hema la Moloki+ na nyota ya mungu Refani, sanamu mlizotengeneza ili kuziabudu. Kwa hiyo nitawahamishia ng’ambo ya Babiloni.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki