Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na nchi hii yote itakuwa magofu na kitu cha kutisha, na mataifa haya yatalazimika kumtumikia mfalme wa Babiloni kwa miaka 70.”’+

  • Amosi 5:25-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Je, uliniletea dhabihu na matoleo ya zawadi

      Kwa miaka 40 uliyokuwa nyikani, Ee nyumba ya Israeli?+

      26 Sasa mtalazimika kumchukua Sakuthi mfalme wenu na Kaiwani,*

      Sanamu zenu, nyota ya mungu wenu ambaye mlijitengenezea,

      27 Nami nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Damasko,’+ anasema yeye ambaye jina lake ni Yehova Mungu wa majeshi.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki