2 Wafalme 14:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Katika mwaka wa 15 wa utawala wa Amazia mwana wa Yehoashi mfalme wa Yuda, Yeroboamu+ mwana wa Mfalme Yehoashi wa Israeli akawa mfalme huko Samaria, naye alitawala kwa miaka 41.
23 Katika mwaka wa 15 wa utawala wa Amazia mwana wa Yehoashi mfalme wa Yuda, Yeroboamu+ mwana wa Mfalme Yehoashi wa Israeli akawa mfalme huko Samaria, naye alitawala kwa miaka 41.