Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako+ wala mtumwa wake wala kijakazi wake wala ng’ombe dume wake wala punda wake wala kitu chochote cha jirani yako.”+

  • 1 Wafalme 21:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ahabu akamwambia Nabothi: “Nipe shamba lako la mizabibu ili nilifanye kuwa shamba la mboga, kwa sababu liko karibu na nyumba yangu. Badala ya shamba hilo, nitakupa shamba bora zaidi la mizabibu. Au ukipenda, nitakulipa pesa zinazolingana na thamani yake.”

  • Isaya 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Ole wao wanaounganisha nyumba moja na nyingine+

      Na wanaounganisha shamba moja na lingine+

      Mpaka nafasi inapokosekana kabisa

      Nanyi mnaishi peke yenu nchini!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki