Kumbukumbu la Torati 28:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atambaka. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kula matunda yake.+ Yeremia 5:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Watakula mavuno yenu na mkate wenu.+ Watawala wana wenu na mabinti wenu. Watayala makundi yenu na mifugo yenu. Wataila mizabibu yenu na mitini yenu. Watayaangamiza kwa upanga majiji yenu yenye ngome mnayoyatumaini.”
30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atambaka. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kula matunda yake.+
17 Watakula mavuno yenu na mkate wenu.+ Watawala wana wenu na mabinti wenu. Watayala makundi yenu na mifugo yenu. Wataila mizabibu yenu na mitini yenu. Watayaangamiza kwa upanga majiji yenu yenye ngome mnayoyatumaini.”