Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 48:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Wamoabu hawajasumbuliwa tangu ujana wao,

      Kama divai iliyotulia kwenye machicha.

      Hawajamiminwa kutoka katika chombo kimoja kwenda kingine,

      Nao hawajawahi kamwe kupelekwa uhamishoni.

      Ndiyo sababu ladha yao imebaki vilevile,

      Na harufu yao haijabadilika.

  • Zekaria 1:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Nao wakamwambia malaika huyo wa Yehova aliyekuwa amesimama katikati ya mihadasi: “Tumetembea huku na huku duniani, na tazama! dunia yote imetulia na haina vurugu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki