-
Luka 12:58, 59Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
58 Kwa mfano, unapoenda kwa mtawala pamoja na mtu anayekushtaki, anza kusuluhisha mambo pamoja naye mkiwa njiani, ili asikupeleke mbele ya hakimu, naye hakimu akukabidhi kwa ofisa wa mahakama, naye ofisa wa mahakama akutupe gerezani.+ 59 Ninakuambia, hakika hutatoka humo mpaka utakapolipa sarafu* yako ndogo ya mwisho.”
-