Marko 4:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Tena akawaambia: “Sikilizeni kwa makini mambo mnayosikia.+ Kwa kipimo mnachopima, ndicho mtakachopimiwa, ndiyo, mtaongezewa hata zaidi. Luka 6:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 Muwe na mazoea ya kuwapa watu, nanyi mtapewa.+ Watawamwagia kwenye mfuko wa nguo zenu kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachowapimia watu, ndicho watakachowapimia.” Wagalatia 6:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Msipotoshwe: Mungu si wa kudhihakiwa. Kwa maana lolote analopanda mtu, ndilo atakalovuna pia;+
24 Tena akawaambia: “Sikilizeni kwa makini mambo mnayosikia.+ Kwa kipimo mnachopima, ndicho mtakachopimiwa, ndiyo, mtaongezewa hata zaidi.
38 Muwe na mazoea ya kuwapa watu, nanyi mtapewa.+ Watawamwagia kwenye mfuko wa nguo zenu kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachowapimia watu, ndicho watakachowapimia.”