Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 7:24-28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Wajumbe wa Yohana walipoondoka, Yesu akaanza kuuambia umati kumhusu Yohana: “Mlienda nyikani kuona nini? Tete likitikiswa na upepo?+ 25 Basi, mlienda kuona nini? Mtu aliyevaa mavazi laini?*+ Kwa maana wale wanaovaa mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa hukaa katika nyumba za kifalme. 26 Basi kwa kweli, mlienda kuona nini? Nabii? Ndiyo, ninawaambia, mtu aliye zaidi ya nabii.+ 27 Huyu ndiye ambaye imeandikwa hivi kumhusu, ‘Tazama! Ninamtuma mjumbe wangu mbele yako,* ili akutayarishie njia mbele yako.’+ 28 Ninawaambia, kati ya wale waliozaliwa na wanawake hakuna aliye mkuu kuliko Yohana, lakini mtu mdogo zaidi katika Ufalme wa Mungu, ni mkuu kuliko Yohana.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki