Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 6:31-33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Naye akawaambia: “Twendeni faraghani mahali pasipo na watu ili mpumzike kidogo.”+ Kwa maana wengi walikuwa wakija na kwenda, nao hawakuwa na wakati hata wa kula. 32 Basi wakapanda mashua na kwenda mahali pasipo na watu ili wawe peke yao.+ 33 Lakini watu wakawaona wakienda na wengi wakajua jambo hilo. Watu kutoka majiji yote wakakimbia kwa miguu wakafika huko mbele yao.

  • Luka 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Mitume waliporudi, wakamsimulia Yesu mambo yote waliyokuwa wamefanya.+ Ndipo akaondoka nao na kwenda faraghani katika jiji linaloitwa Bethsaida.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki