-
Luka 9:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Akachukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama mbinguni na kuvibariki. Kisha akavimega, akaanza kuwapa wanafunzi ili wawape watu.
-