-
Marko 6:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Sasa akichukua ile mikate mitano na wale samaki wawili akatazama juu mbinguni akasema baraka, akaimega ile mikate na kuanza kuwapa wanafunzi, ili hao wapate kuiweka mbele ya hao watu; naye akagawanya wale samaki wawili kwa ajili ya wote.
-