Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 23:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Ole wenu, waandishi na Mafarisayo wanafiki!+ kwa sababu mnasafiri baharini na kwenye nchi kavu ili kumgeuza imani mtu mmoja, na anapogeuka, mnamfanya astahili Gehena* mara mbili zaidi yenu.

      16 “Ole wenu, viongozi vipofu+ mnaosema, ‘Yeyote akiapa kwa hekalu, si kitu; lakini yeyote akiapa kwa dhahabu ya hekalu, yuko chini ya wajibu.’+

  • Luka 6:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Kisha akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? Wote watatumbukia shimoni, sivyo?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki