Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 11:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi wakaenda na kumpata mwanapunda akiwa amefungwa kwenye mlango, karibu na barabara, nao wakamfungua.+ 5 Lakini watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza: “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?” 6 Wakajibu kama Yesu alivyowaambia, nao wakawaacha waende.

  • Luka 19:32-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Basi wale waliotumwa wakaenda na kupata sawasawa na vile Yesu alivyowaambia.+ 33 Lakini walipokuwa wakimfungua mwanapunda huyo, wenyewe wakawauliza: “Mbona mnamfungua huyo mwanapunda?” 34 Wakajibu: “Bwana anamhitaji.” 35 Wakampeleka kwa Yesu, nao wakaweka mavazi yao ya nje juu ya huyo mwanapunda na kumketisha Yesu juu yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki