Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 23:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 “Ninyi nyoka, wana wa nyoka,*+ mtaikimbiaje hukumu ya Gehena?*+

  • Luka 3:7-9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Basi akaanza kuuambia umati uliokuja kwake ili awabatize: “Enyi uzao wa nyoka,* ni nani amewaonya mkimbie ghadhabu inayokuja?+ 8 Basi zaeni matunda yanayoonyesha toba. Wala msijiambie, ‘Abrahamu ndiye baba yetu.’ Kwa maana ninawaambia, Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka kwenye mawe haya. 9 Kwa kweli, tayari shoka limewekwa kwenye mzizi wa miti. Basi, kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni.”+

  • Luka 21:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Ole wao wanawake wenye mimba na wale wanaonyonyesha mtoto katika siku hizo!+ Kwa maana kutakuwa na mateso mengi katika nchi na ghadhabu dhidi ya watu hawa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki