Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 3:7-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Alipoona Mafarisayo na Masadukayo+ wengi wakija kwenye ubatizo, akawaambia: “Enyi uzao wa nyoka,*+ ni nani amewaonya ili mkimbie ghadhabu inayokuja?+ 8 Basi zaeni matunda yanayoonyesha toba. 9 Msithubutu kujiambia, ‘Abrahamu ndiye baba yetu.’+ Kwa maana ninawaambia, Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka kwenye mawe haya. 10 Tayari shoka limewekwa kwenye mzizi wa miti. Basi, kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni.+

  • Mathayo 23:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 “Ninyi nyoka, wana wa nyoka,*+ mtaikimbiaje hukumu ya Gehena?*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki