Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 11:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Wakuu wa makuhani na waandishi waliposikia hayo, wakaanza kutafuta njia ya kumuua;+ kwa maana walimwogopa, kwa sababu umati wote ulishangazwa na mafundisho yake.+

  • Luka 19:39, 40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Hata hivyo, baadhi ya Mafarisayo waliokuwa kwenye umati wakamwambia: “Mwalimu, wakemee wanafunzi wako.”+ 40 Lakini akajibu: “Ninawaambia, hata hawa wakinyamaza, mawe yatapaza sauti.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki