Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 3:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Yohana akawajibu: “Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye nguvu kuliko mimi, ambaye sistahili kufungua kamba za viatu vyake.+ Yeye atawabatiza kwa roho takatifu na moto.+ 17 Sepetu yake ya kupepetea imo mkononi mwake ili kuusafisha kabisa uwanja wake wa kupuria, na kukusanya ngano katika ghala lake, lakini atayateketeza makapi kwa moto usioweza kuzimwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki