-
Luka 3:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Sepetu yake ya kupepetea imo mkononi mwake ili kusafisha kabisa sakafu yake ya kupuria na kukusanya ngano ghalani mwake, lakini makapi atayachoma kabisa kwa moto usioweza kuzimwa.”
-