- 
	                        
            
            Luka 3:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
17 Sepetu yake ya kupepetea imo mkononi mwake ili kuusafisha kabisa uwanja wake wa kupuria, na kukusanya ngano katika ghala lake, lakini atayateketeza makapi kwa moto usioweza kuzimwa.”
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Luka 3:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
17 Sepetu yake ya kupepetea imo mkononi mwake ili kusafisha kabisa sakafu yake ya kupuria na kukusanya ngano ghalani mwake, lakini makapi atayachoma kabisa kwa moto usioweza kuzimwa.”
 
 -