-
Marko 7:3, 4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 (Kwa maana kabla ya kula, Mafarisayo na Wayahudi wote hunawa mikono yao mpaka kwenye kiwiko, kwa kuyashika mapokeo ya mababu zao, 4 na wanapotoka sokoni, hawali chakula kabla ya kujisafisha. Kuna mapokeo mengine mengi ambayo wamepokea na kuyashika, kama vile kubatiza* vikombe, mitungi, na vyombo vya shaba.)+
-