Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 11:49-51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Kwa sababu hiyo hekima ya Mungu ilisema: ‘Nitawatuma manabii na mitume kwao, lakini watawaua na kuwatesa baadhi yao, 50 ili damu ya manabii wote iliyomwagwa tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu idaiwe kutoka kwa kizazi hiki,+ 51 kuanzia damu ya Abeli+ mpaka damu ya Zekaria, aliyeuawa kati ya madhabahu na ile nyumba.’*+ Ndiyo, ninawaambia, kizazi hiki kitadaiwa* damu hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki