Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 13:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “Lakini katika siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa nuru yake,+ 25 nazo nyota zitakuwa zikianguka kutoka mbinguni na nguvu zilizo katika mbingu zitatikiswa.

  • Luka 21:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 “Pia, kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota,+ na duniani mataifa yatakuwa na maumivu makali bila kujua cha kufanya kwa sababu ya mngurumo na msukosuko wa bahari. 26 Watu watazimia kwa woga wakitarajia mambo yatakayotokea juu ya dunia inayokaliwa, kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki