Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 24:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 “Mara tu baada ya dhiki ya siku hizo jua litatiwa giza,+ mwezi hautatoa nuru yake, nyota zitaanguka kutoka mbinguni, na nguvu za mbingu zitatikiswa.+

  • Luka 21:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 “Pia, kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota,+ na duniani mataifa yatakuwa na maumivu makali bila kujua cha kufanya kwa sababu ya mngurumo na msukosuko wa bahari. 26 Watu watazimia kwa woga wakitarajia mambo yatakayotokea juu ya dunia inayokaliwa, kwa maana nguvu za mbingu zitatikiswa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki