Yoshua 2:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akawatuma kwa siri wanaume wawili wapelelezi kutoka Shitimu,+ akawaambia: “Nendeni mkaipeleleze nchi, hasa jiji la Yeriko.” Basi wakaenda na kufika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba aliyeitwa Rahabu,+ wakakaa humo.
2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akawatuma kwa siri wanaume wawili wapelelezi kutoka Shitimu,+ akawaambia: “Nendeni mkaipeleleze nchi, hasa jiji la Yeriko.” Basi wakaenda na kufika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba aliyeitwa Rahabu,+ wakakaa humo.