Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 15:6-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi, kila sherehe ya Pasaka, alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa ambaye waliomba.+ 7 Wakati huo mtu aliyeitwa Baraba alikuwa amefungwa pamoja na wachochezi ambao katika uchochezi wao walikuwa wameua. 8 Basi umati ukaja na kuanza kumwomba Pilato awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. 9 Akawauliza: “Je, mnataka niwafungulie Mfalme wa Wayahudi?”+ 10 Kwa maana Pilato alijua kwamba wakuu wa makuhani walikuwa wamemkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.+

  • Yohana 18:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Isitoshe, mna desturi kwamba niwafungulie mtu siku ya Pasaka.+ Basi, mnataka niwafungulie Mfalme wa Wayahudi?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki