-
Luka 23:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Akamfungua yule mtu waliyemtaka, ambaye alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya uchochezi na mauaji, lakini akamkabidhi Yesu mikononi mwao ili wamtendee wanavyopenda.
-