-
Luka 23:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 akamfungua huyo mtu aliyekuwa ametupwa ndani ya gereza kwa uchochezi wa uasi na kuua kimakusudi na ambaye wao walikuwa wakidai, lakini akamsalimisha Yesu wamfanye kama wapendavyo.
-