Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 15:42, 43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Sasa kwa kuwa ilikuwa jioni, siku ya Matayarisho, yaani, siku moja kabla ya Sabato, 43 akaja Yosefu wa Arimathea, mshiriki wa Baraza aliyeheshimiwa, ambaye pia alikuwa akiungojea Ufalme wa Mungu. Akajipa moyo na kwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.+

  • Luka 23:50-53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Na tazama! kulikuwa na mwanamume aliyeitwa Yosefu, mshiriki wa Baraza, ambaye alikuwa mtu mwema na mwadilifu.+ 51 (Mtu huyo hakupiga kura kuunga mkono njama na kitendo chao.) Alikuwa wa kutoka Arimathea, jiji la Wayudea, naye alikuwa akiungojea Ufalme wa Mungu. 52 Mtu huyo alienda kwa Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu. 53 Naye akaushusha+ na kuufunga kwa kitani bora, akaulaza katika kaburi* lililochongwa kwenye mwamba,+ ambamo hakuna mtu aliyewahi kulazwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki