Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 8:28-30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Alipomwona Yesu, akapaza kilio na kuanguka chini mbele yake, akasema kwa sauti kubwa: “Kwa nini unanisumbua, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Zaidi? Ninakuomba, usinitese.”+ 29 (Kwa maana Yesu alikuwa akimwagiza huyo roho mwovu amtoke. Kwa sababu alikuwa amemshika mtu huyo mara nyingi,*+ naye alifungwa mara kwa mara kwa minyororo na pingu na kuwekwa chini ya ulinzi, lakini alivunja vifungo hivyo na yule roho mwovu akampeleka mahali pasipo na watu.) 30 Yesu akamuuliza: “Jina lako ni nani?” Akajibu: “Kikosi,” kwa sababu alikuwa ameingiwa na roho wengi waovu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki