-
Luka 8:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 (Kwa maana alikuwa amekuwa akiagiza huyo roho asiye safi amtoke huyo mtu. Kwa maana kwa muda mrefu alikuwa amemshika sana, naye alifungwa mara kwa mara kwa minyororo na pingu akiwa chini ya ulinzi, lakini akawa akivunja hivyo vifungo na kukimbizwa na huyo roho mwovu katika mahali pa upweke.)
-