Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 (Kwa maana Yesu alikuwa akimwagiza huyo roho mwovu amtoke. Kwa sababu alikuwa amemshika mtu huyo mara nyingi,*+ naye alifungwa mara kwa mara kwa minyororo na pingu na kuwekwa chini ya ulinzi, lakini alivunja vifungo hivyo na yule roho mwovu akampeleka mahali pasipo na watu.)

  • Luka 8:29
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 29 (Kwa maana alikuwa amekuwa akiagiza huyo roho asiye safi amtoke huyo mtu. Kwa maana kwa muda mrefu alikuwa amemshika sana, naye alifungwa mara kwa mara kwa minyororo na pingu akiwa chini ya ulinzi, lakini akawa akivunja hivyo vifungo na kukimbizwa na huyo roho mwovu katika mahali pa upweke.)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki