Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 14:6-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Lakini wakati wa sherehe ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Herode,+ binti ya Herodia alicheza dansi na kumfurahisha sana Herode+ 7 hivi kwamba akaahidi kwa kiapo kumpa chochote ambacho angeomba. 8 Ndipo yule binti, akichochewa na mama yake, akasema: “Nipe kwenye sinia kichwa cha Yohana Mbatizaji.”+ 9 Mfalme akahuzunika, lakini kwa sababu ya viapo alivyotoa mbele ya wageni* wake, akaamuru apewe kichwa hicho. 10 Basi akawatuma watu gerezani, nao wakamkata Yohana kichwa. 11 Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia akapewa yule msichana, naye akampelekea mama yake. 12 Baadaye wanafunzi wake wakaja wakaondoa maiti hiyo na kuizika, kisha wakaenda kumjulisha Yesu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki