Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 15:15-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Petro akamwambia: “Tufafanulie mfano huo.” 16 Ndipo akasema: “Je, ninyi pia bado hamwelewi?+ 17 Je, hamjui kwamba chochote kinachoingia kinywani hupita tumboni kisha hutoka na kuingia chooni? 18 Hata hivyo, mambo yanayotoka kinywani hutoka moyoni, nayo ndiyo yanayomchafua mtu.+ 19 Kwa mfano, moyoni hutoka mawazo mabaya,+ mauaji, uzinzi, uasherati,* wizi, ushahidi wa uwongo, na makufuru. 20 Hayo ndiyo mambo yanayomchafua mtu; lakini kula bila kunawa* mikono hakumchafui mtu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki