Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:43-45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Kisha akampa maagizo thabiti na mara moja akamwacha aende, 44 akamwambia: “Usimwambie jambo lolote mtu yeyote, bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani na utoe vitu alivyoagiza Musa kwa ajili ya kutakaswa kwako,+ ili kuwa ushahidi kwao.”+ 45 Hata hivyo, baada ya kuondoka, mtu huyo akaanza kueneza habari hizo kila mahali, hivi kwamba Yesu hakuweza kuingia katika jiji lolote waziwazi, bali alikaa nje mahali pasipo na watu. Lakini watu walizidi kumjia kutoka kila upande.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki