Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Lakini baada ya kwenda zake mtu huyo akaanza kutangaza sana juu ya hilo na kusambaza jambo hilo kotekote, hivi kwamba Yesu hakuweza tena kuingia waziwazi katika jiji, lakini akakaa nje katika mahali pasipo na watu. Na bado wakaendelea kumjia kutoka pande zote.+

  • Marko 1:45
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 45 Lakini baada ya kwenda zake mtu huyo akaanza kupiga mbiu sana juu ya hilo na kusambaza hayo masimulizi kotekote, hivi kwamba Yesu hakuweza tena kuingia waziwazi katika jiji, lakini akakaa nje katika mahali pa upweke. Na bado wakafuliza kumjia kutoka pande zote.

  • Marko
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 1:45

      Yesu—Njia, uku. 65

      Mnara wa Mlinzi,

      4/15/1986, uku. 9

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki