Mathayo 25:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Mfalme atawajibu, ‘Kwa kweli ninawaambia, kwa kadiri ambavyo mlimtendea aliye mdogo zaidi kati ya hawa ndugu zangu, mlinitendea mimi.’+
40 Mfalme atawajibu, ‘Kwa kweli ninawaambia, kwa kadiri ambavyo mlimtendea aliye mdogo zaidi kati ya hawa ndugu zangu, mlinitendea mimi.’+