Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Ninyi ndio chumvi ya dunia, lakini chumvi+ ikipoteza nguvu yake, ladha yake itarudishwaje? Haifai tena, inapaswa kutupwa nje+ na kukanyagwa-kanyagwa na watu.

  • Luka 14:34, 35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 “Kwa kweli chumvi ni nzuri. Lakini ikipoteza nguvu yake, itakolezwa na nini?+ 35 Haifai kuchanganywa na udongo wala mbolea. Watu huitupa nje. Yule aliye na masikio ya kusikiliza na asikilize.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki