Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 22:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 kwa maana katika ufufuo, wanaume hawaoi, wala wanawake hawaolewi, bali wao ni kama malaika mbinguni.+

  • Luka 20:34-36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Yesu akawaambia: “Watoto wa mfumo huu wa mambo* huoa na kuolewa, 35 lakini wale waliohesabiwa kuwa wanastahili kuupata mfumo huo wa mambo na kufufuliwa kutoka kwa wafu hawaoi wala kuolewa.+ 36 Kwa kweli, hawawezi kufa tena kamwe, kwa maana wao ni kama malaika, nao ni watoto wa Mungu kwa kuwa watoto wa ufufuo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki