Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 18:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Basi Pilato akaingia tena ndani ya makao ya gavana, akamwita Yesu na kumuuliza: “Je, wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?”+

  • Yohana 18:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Basi Pilato akamuuliza: “Kwa hiyo, wewe ni mfalme?” Yesu akajibu: “Wewe mwenyewe unasema kwamba mimi ni mfalme.+ Nimezaliwa kwa ajili ya hili, na kwa ajili ya hili nimekuja ulimwenguni, ili nitoe ushahidi kuhusu kweli.+ Kila mtu aliye upande wa kweli huisikiliza sauti yangu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki