Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:55, 56
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Na wanawake wengi ambao walikuwa wamemfuata Yesu kutoka Galilaya ili kumhudumia walikuwa wakitazama kwa mbali;+ 56 miongoni mwao kulikuwa na Maria Magdalene, Maria mama ya Yakobo na Yose, na pia mama ya wana wa Zebedayo.+

  • Luka 23:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Wale wote waliomfahamu walikuwa wamesimama mbali kidogo. Pia, wanawake waliokuwa wamefuatana naye kutoka Galilaya, walikuwa hapo na waliona mambo hayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki