-
Luka 11:17, 18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Akijua mawazo yao,+ akawaambia: “Kila ufalme uliogawanyika dhidi yake wenyewe utaangamia, na nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka. 18 Vivyo hivyo, ikiwa Shetani amegawanyika dhidi yake mwenyewe, ufalme wake utawezaje kusimama? Kwa maana mnasema ninafukuza roho waovu kupitia Beelzebuli.
-