-
Luka 11:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa hiyo ikiwa Shetani pia amegawanyika dhidi yake mwenyewe, ufalme wake utasimamaje? Kwa sababu nyinyi mwasema mimi hufukuza roho waovu kupitia Beelzebubi.
-