-
Luka 11:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Vivyo hivyo, ikiwa Shetani amegawanyika dhidi yake mwenyewe, ufalme wake utawezaje kusimama? Kwa maana mnasema ninafukuza roho waovu kupitia Beelzebuli.
-