Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:23-28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Wakati huohuo, kulikuwa na mtu katika sinagogi lao aliyekuwa na roho mwovu, naye akasema kwa sauti kubwa: 24 “Kwa nini unatusumbua, wewe Yesu Mnazareti?+ Je, umekuja kutuangamiza? Ninajua wewe ni nani, Mtakatifu wa Mungu!”+ 25 Lakini Yesu akamkemea, akisema: “Nyamaza, na umtoke!” 26 Na yule roho mwovu, baada ya kumfanya mtu huyo agaegae na kupiga kelele kwa sauti kubwa, akamtoka. 27 Basi, watu wote wakashangaa sana na kuulizana: “Ni jambo gani hili? Ni fundisho jipya! Hata anawaamuru roho waovu kwa mamlaka, nao wanamtii!” 28 Basi habari kumhusu zikaenea upesi kila mahali katika eneo lote la Galilaya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki