Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:28, 29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Alipofika upande ule mwingine na kuingia katika eneo la Wagadarene, alikutana na wanaume wawili waliokuwa na roho waovu wakitoka makaburini.*+ Walikuwa wakali sana, hivi kwamba hakuna mtu aliyekuwa na ujasiri wa kupita katika barabara hiyo. 29 Na tazama! wakapiga mayowe wakisema: “Kwa nini unatusumbua, Mwana wa Mungu?+ Je, umekuja kututesa+ kabla ya wakati uliowekwa?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki