Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 5:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Basi, wakafika ng’ambo ya bahari na kuingia katika eneo la Wagerasene.+ 2 Mara tu Yesu alipotoka kwenye mashua akakutana na mtu mwenye roho mwovu akitoka makaburini.* 3 Alikuwa akikaa makaburini, na kufikia wakati huo hakuna mtu yeyote aliyeweza kumfunga kabisa hata kwa mnyororo.

  • Luka 8:26, 27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Wakafika pwani ya eneo la Wagerasene,+ lililo ng’ambo ya Galilaya. 27 Yesu alipotoka kwenye mashua akakutana na mwanamume fulani kutoka jijini aliyekuwa na roho mwovu. Hakuwa amevaa nguo kwa muda mrefu, na hakuwa akiishi katika nyumba bali aliishi makaburini.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki