Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Alipofika upande ule mwingine na kuingia katika eneo la Wagadarene, alikutana na wanaume wawili waliokuwa na roho waovu wakitoka makaburini.*+ Walikuwa wakali sana, hivi kwamba hakuna mtu aliyekuwa na ujasiri wa kupita katika barabara hiyo.

  • Luka 8:26, 27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Wakafika pwani ya eneo la Wagerasene,+ lililo ng’ambo ya Galilaya. 27 Yesu alipotoka kwenye mashua akakutana na mwanamume fulani kutoka jijini aliyekuwa na roho mwovu. Hakuwa amevaa nguo kwa muda mrefu, na hakuwa akiishi katika nyumba bali aliishi makaburini.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki