Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Lakini ilipofika jioni, watu walimletea watu wengi wenye roho waovu; akawafukuza hao roho kwa kusema neno moja, naye akawaponya wote waliokuwa wakiteseka, 17 ili yatimie maneno haya yaliyosemwa kupitia nabii Isaya: “Yeye mwenyewe aliyachukua magonjwa yetu na kuyabeba maradhi yetu.”+

  • Marko 1:32-34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Ilipofika jioni, jua lilipotua, watu wakaanza kumletea wote waliokuwa wagonjwa na waliokuwa na roho waovu;+ 33 na jiji lote lilikuwa limekusanyika mlangoni. 34 Basi akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali,+ akafukuza roho wengi waovu, lakini hakuwaruhusu hao roho waovu waseme, kwa maana walijua yeye ni Kristo.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki